• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Madaktari Uganda wasitisha mgomo wao wa wiki tatu na kurejea kazini

    (GMT+08:00) 2017-12-04 08:48:45

    Madaktari nchini Uganda wamefikia makubaliano na serikali na kusitisha mgomo wa wiki tatu. Hata hivyo wamesema kama serikali itaendelea kuwapuuza huku wakionya kuwa iwapo matakwa yao hayatatiliwa maanani, watarejea tena kwenye mgomo huo mapema mwakani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako