• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kikosi cha dharura cha Afrika Mashariki chakamilisha mazoezi ya kijeshi Sudan

    (GMT+08:00) 2017-12-04 08:58:34

    Kikosi cha dharura cha Afrika Mashariki EASF kimemaliza mazoezi ya kijeshi katika kambi ya kijeshi ya Gebeit, mashariki mwa Sudan.

    Waziri wa ulinzi wa Sudan Bw. Awad ibn Auf amesema EASF iko tayari kupambana na ugaidi unaotokea katika kanda hiyo. Pia amesema, hivi sasa ni muda wa kutatua mapambano ya ndani na operesheni za kigaidi katika baadhi ya nchi za Afrika Mashariki.

    Habari zinasema, mazoezi hayo yameshirikisha vikosi kutoka Sudan, Somalia, Djibouti, Kenya Uganda, Shelisheli, Comoro, Ethiopia, Rwanda na Burundi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako