• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya:De la Rue kuondoa kesi ya kuchapishwa noti mpya za Kenya

  (GMT+08:00) 2017-12-04 18:57:27

  Benki kuu ya Kenya sasa huenda ikatoa noti mpya za pesa za Kenya kufuatia shirika la De La Rue la masuala ya pesa kuamua kuondoa kesi ya kupinga jambo hilo.

  Jaji Enock Mwita wa mahakama kuu ya Kenya amesema De la Rue imeondoa kesi hiyo mahakamani hivyo benki kuu ina idhini ya kuanza kutoa noti hizo baada ya kuchapishwa.

  Pande hizo mbili sasa zimetakiwa kukubaliana kuhusiaa na zabuni ya uchapishi.

  De la Rue ni kmpuni ya kutengeza na kuchapisha noti za sarafu za nchi mbali mbali pamoja na kuchapisha paspoti.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako