• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mazoezi ya jeshi la dharura la Afrika Mashariki yamalizika Sudan

    (GMT+08:00) 2017-12-05 08:47:49

    Mazoezi ya pamoja ya wiki mbili ya jeshi la dharura la Afrika mashariki EASF yamemalizika nchini Sudan. Naibu msemaji wa jeshi la Uganda luteni kanali Deo Akiiki amesema waziri wa ulinzi wa Sudan luteni jenerali Awad Mohamed Amed Ibin Oaf aliendesha hafla ya ufunguzi wa mazoezi hayo yaitwayo "Mashariki Salaam II" iliyofanyika huko Gebeit, ambapo amepongeza ushirikiano wa nchi kumi zilizoshiriki kwenye mazoezi hayo, na kuutaja kuwa umeonesha ahadi ya nchi hizo kulinda amani na usalama wa kikanda na jumuiya ya kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako