• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Uganda lajiunga na mazoezi ya kikanda nchini Tanzania

    (GMT+08:00) 2017-12-05 09:21:29

    Askari wa jeshi la Uganda na polisi wa Uganda jana walijiunga na mazoezi ya wiki mbili ya jumuiya ya nchi za Afrika Mashariki kuhusu operesheni ya kulinda amani, kupambana na ugaidi na usimamizi wa maafa.

    Msemaji wa jeshi la Uganda Luteni Kanali Deo Akkiki amesema askari hao watashirikiana na askari wa nchi nyingine tano wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye mazoezi ya "CPX USHIRIKIANO IMARA 2017" yaliyozinduliwa jana huko Dar es Salaam.

    Bw. Akkiki amesema mazoezi hayo yanalenga kuimarisha uwezo wa askari hao kukabiliana na hali ya kukosekana kwa utulivu na usalama kwenye kanda ya Afrika mashariki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako