• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mpira wa Magongo: Ligi kuu ya Kenya yaendelea kuwa ngumu

  (GMT+08:00) 2017-12-05 09:48:17
  Vinara wa ligi kuu ya mchezo wa mpira wa magongo, timu ya Polisi Kenya, hatimaye wameonja joto ya kufungwa baada ya kuweka rekodi ya kushinda mechi 20 mfululizo msimu huu.

  Polisi walifungwa 1-0 bila na Western Jaguars katika mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa shule ya sekondari ya Kakamega, na kipigo hicho kinawafanya wapunguwe kasi kuelekea ubingwa.

  Kwa kuwa tofauti ya pointi ni kumi dhidi ya timu ya nafasi ya pili Butali Sugar, huenda zikapungua hadi saba kwa kuwa Butali bado wana mechi moja mkononi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako