• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wataalamu wajadili majukumu ya kijamii ya mawasiliano kwenye mtandao wa Internet

    (GMT+08:00) 2017-12-05 09:48:32

    Kongamano kuhusu "mawasiliano kupitia mtandao wa Internet na majukumu ya kijamii" kando ya Mkutano wa 4 wa mtandao wa Internet duniani, limefanyika huko Wuzhen mkoani Zhejiang, China, ambapo wajumbe wanajadili kwa kina suala kuhusu jinsi mawasiliano kupitia mtandao wa Internet yanavyobeba majukumu ya kijamii.

    Mkurugenzi wa Shirika la habari la China Xinhua Bw. Cai Mingzhao amesema, inapaswa kuimarisha mawasiliano, kukuza ushirikiano wenye ufanisi, na kubeba kwa pamoja majukumu ya kijamii ya mawasiliano kupitia Internet, kwenye msingi wa kuheshimiana na kuaminiana, na kwa kufuata kanuni za amani, usalama, kufungua mlango, na kushirikiana, ili kueneza zaidi mtandao wa Internet, na kusukuma mbele mchakato wa kujenga jumuiya yenye mustakabali wa pamoja kwenye mtandao wa Internet.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako