• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Soka: Raundi ya tatu ya kombe la FA Uingereza

  (GMT+08:00) 2017-12-05 09:49:18
  Hatimaye, ratiba ya mzunguko wa tatu ya michuano ya kombe la chama cha soka cha Uingereza (FA), imetangazwa usiku wa kuamkia leo na mechi hizo zikitarajiwa kuchezwa wikiendi ya januari 6 na 7 mwaka 2018

  Baadhi ya michezo hiyo ni kuwa, Liverpool wataanza michuano hiyo kwa kuchuana na wapinzani wao wa jadi Everton,huku bingwa mtetezi Arsenal akianzia ugenini kwa kucheza na Nottingham Forest.

  Manchester City wataanzia nyumbani kucheza na Burnley nao Manchester United watawaalika Derby County.

  Chelsea wataanzia ugenini kwa kucheza na Norwich, Tottenham Hotspur watakua wenyeji wa AFC Wimbledon.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako