• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Riadha: Uganda waridhishwa na kiwangu cha wakimbiaji wake kuelekea michezo ya jumuiya ya madola 2018

    (GMT+08:00) 2017-12-05 09:58:04

    Mwanariadha Stephen Kiprotich wa Uganda amemaliza msimu mpya wa mbio za kumataifa kuwa kutwaa medali ya fedha baada ya kushinda nafasi ya pili kwenye mbio za marathon za Fukuoka nchini Japan.

    Bingwa huyo wa mwaka 2012 katika mbio za Olimpiki nchini Uingereza, alishika nafasi ya pili baada ya kutumia saa mbili dakika saba na sekunde kumi, ikiwa ni takribani dakika moja nyumba ya mshindi wa medali ya dhahabu Sondre Moen wa Norway aliyeweka rekodi mpya ya dunia kwa kutumia saa mbili, dakika tano na sekunde 48.

    Akizungumza katika hotuba yake ya pongezi kwa Kiprotich, Rais wa shirikisho la riadha la Uganda Dominic Otuchet, amesema licha ya kufurahishwa na uwezo wa Kiprotich nchini Japan, ameeleza kuwa wanamatumaini makubwa kuelekea mashindano ya Jumuiya ya madola mwaka 2018 nchini Australia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako