• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa nne wa mtandao wa Internet duniani wafungwa huko Wuzhen, China

    (GMT+08:00) 2017-12-05 19:33:39

    Mkutano wa nne wa mtandao wa Internet duniani umefungwa huko Wuzhen mkoani Zhejiang, China.

    Kwenye hafla ya kufunga mkutano huo, mkurugenzi wa ofisi ya habari ya mtandao wa Internet ya China Bw. Xu Lin amesema, rais Xi Jinping wa China anatilia maani mkutano huo na ametoa pendekezo kuhusu kuzidi kuhimiza maendeleo na usimamizi wa mtandao wa Internet, pendekezo ambalo limepokewa vizuri na washiriki wa mkutano huo na kutambuliwa na jumuiya ya kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako