• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China akutana na waziri mkuu wa Canada

    (GMT+08:00) 2017-12-05 20:00:59

    Rais Xi Jinping wa China amekutana na waziri mkuu wa Canada Justin Trudeau hapa Beijing.

    Rais Xi amesema, mawasiliano ya muda mrefu kati ya viongozi wa nchi hizo mbili yametoa mchango mkubwa katika maendeleo ya uhusiano kati ya nchi hizo. Amesema China na Canada zina nguvu bora tofauti zinazoweza kuungana, hivyo uwezo wa ushirikiano kati ya nchi hizo ni mkubwa. Amezitaka pande hizo mbili kupanua wazo na kuchukua hatua, ili kusukuma mbele uhusiano kati ya nchi hizo mbili kupata mafanikio halisi mengi zaidi. Rais Xi amemkaribisha Bw. Trudeau kufanya ziara tena nchini China.

    Rais Trudeau amesema, anakubali tathmini ya rais Xi kuhusu uhusiano kati ya Canada na China. Amesema katika miaka ya hivi karibuni, ushirikiano kati ya Canada na China umedumisha mwelekeo wa maendeleo wenye nguvu kubwa, ambao umeleta manufaa kwa watu wa pande mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako