• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda kuwa nchi ya malipo ya kielektroniki kufikia mwaka 2024

  (GMT+08:00) 2017-12-05 20:22:07

  Benki Kuu ya Rwanda hivi sasa inafanya hamasisho nchini kote kuhusu manufaa ya kufanya malipo ya kielektroniki.

  Kampeni hii ni sehemu ya juhudi za kuongeza matumizi na upatikanaji wa mifumo ya malipo ya kielektroniki ili kuharakisha kufikia malengo ya Rwanda kuwa uchumi usitumia pesa taslimu bali malipo ya kielektroniki kufikia mwaka 2024.

  Hata hivyo wataalamu wanasema gharama za malipo bado ziko juu ,jambao ambalo linawafanya watu wengi kutotumia mifumo ya malipo ya kielektroniki inayotolewa na mabenki,kampuni za mawasiliano na biashara mbalimbali.

  Hii imepelekea Benki ya Kitaifa ya Rwanda (BNR) kuziambia taaisi za kifedha na wadau wengine kubadilisha bei zao ili ziweze kuvutia wengi kufanya malipo ya kielektroniki.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako