• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Soka, CECAFA: Zanzibar yaifunga Rwanda, Kenya wabanwa na Libya, Ethiopia yaishinda Sudan Kusini

  (GMT+08:00) 2017-12-06 10:44:24

  Habari kuu katika michezo ya CECAFA jana ni matokeo ya ushindi wa 3-1 iliyopata timu ya Zanzibar ilipocheza dhidi ya Rwanda.

  Magoli ya Heroes ambayo alhamisi itashuka kucheza na Tanzania bara yalifungwa na Mudathir Yahya, Mohamed Issa na Kassim Suleiman,

  Na goli la kufutia machozi kwa Rwanda ambao wanapokea kipigo kwa mara ya pili kwenye mashindano hayo limefungwa na Hakizimana Muhadjiri.

  Katika mechi zingine zilizopigwa jana, Kenya ililazimishwa sare ya bila kufungana na Libya, Ethiopia wakaifunga Sudan Kusini magoli 3-0

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako