• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Soka: Usajili, Elias Maguli wa Tanzania ajiunga na Polokwane City ya Afrika Kusini

  (GMT+08:00) 2017-12-06 10:44:42
  Habari kutoka nchini Afrika Kusini, ni kwamba ya magazeti na mitandao mbalimbali ya habari, vimeandika habari kuhusu kukamilika kwa dili la usajili wa mchezaji wa kimataifa wa Tanzania Elias Maguli kwenda klabu ya Polokwane City inayoshiriki ligi kuu ya nchi hiyo (PSL).

  Maguli ambaye sasa yuko nchini Kenya akiwa na timu ya Tanzania anajiunga na Polokwane akiwa mchezaji huru baada ya kumalizana na klabu ya Dhofar FC ya Oman aliyojiunga nayo mwaka 2016, na akiwa amewahi kucheza katika vilabu vya Ruvu Shooting, Tanzania Prisons, Stand United na Simba vyote vya Tanzania.

  Polokwane City inashika nafasi ya 11 katika ligi kuu ya Afrika Kusini

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako