• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • NBA: Polisi watangaza kumkata mtuhumiwa wa mauaji ya mchezaji mwaka 2010

  (GMT+08:00) 2017-12-06 10:45:36
  Polisi nchini Marekani wametangaza kumkamata mshukiwa wa mauaji ya mchezaji wa zamani wa ligi ya mpira wa kikapu ya nchini Marekani, Lorenzen Wright yaliyoyotokea Julai 19 mwaka 2010 mjini Memphis.

  Billy Turner mwenye miaka 46 mkazi wa Memphis ndiye anatajwa kutekeleza mauaji hayo, kufuatia taarifa zilizopatikana baada ya mamlaka kutangaza dau nono la dola 21 kwa atakayetoa taarifa kuhusu kifo hicho.

  Katika uchezaji wake Lorenzen, amewahi kuvitumikia vilabu vya LA Clippers, Atlanta Hawks, Memphis Grizzlies, Sacramento Kings na Cleveland Cavaliers na akiwa na rekodi ya kuitumikia kwa mafanikio timu ya taifa ya Marekani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako