• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Soka, ligi ya mabingwa Ulaya: Man United, wafuzu, waongoza kundi A

  (GMT+08:00) 2017-12-06 10:45:55
  Klabu ya Manchester united ya nchini Uingereza jana imefanikiwa kufuzu hatua ya mtoano ya klabu bingwa ulaya baada ya ushindi wa magoli mawili kwa moja ilipocheza na CSKA Moscow ya Urusi katika mechi ya mwisho ya hatua ya makundi.

  Magoli ya united ambao wanafuzu kama vinara wa Kundi A yamefungwa na Romelu Lukaku katika dakika ya 64, na Marcus Rashford kunako dakika ya 66, huku goli la kufutia machozi kwa CSKA ambao sasa wamekosa kufuzu likifungwa na Alan Dzagoev mapema dakika ya 45.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako