• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Soka, ligi ya klabu bingwa Ulaya: Atletico Madrid yashindwa kufuzu 16 bora

  (GMT+08:00) 2017-12-06 10:46:13
  Kwingineko Atletico Madrid wameshindwa kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya klabu bingwa Ulaya baada ya matokeo ya 1-1 waliyopata dhidi ya Chelsea, jambo lililowafanya waishie katika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa kundi C.

  Kwa nafasi hiyo sasa, Atletico itakwenda kushiriki mashindano ya kombe la Yuropa kulingana na kanuni za mashindano yanayoongozwa shirikisho la vyama vya soka vya Ulaya UEFA.

  Mara ya mwisho Atletico Mdrid kuwahi kuondolewa katika hatua ya makundi ya klabu bingwa ulaya ilikuwa msimu wa 2009-2010.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako