• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Soka: Matokeo ya Ligi ya mabingwa, Disemba 05-2016

  (GMT+08:00) 2017-12-06 10:46:29
  Na katika matokeo ya mechi zingine zilizopigwa jana, Benfica wakiwa nyumbani walikubali kipigo cha goli 2-0 kutoka kwa FC Basel, Celtic wakifungwa 1-0 na Anderlecht, Bayern Munich ikiwaadhibu PSG kwa magoli 3-1.

  AS Roma ilipata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya FK Qarabag, Barcelona ikiitandika sporting Lisbon kwa magoli 2-0, na Juventus ikishinda kwa magoli 2-0 ilipocheza dhidi ya Olympiakos.

  Michuano hiyo inaendelea tena leo usiku kwa mechi za mwisho za makundi E F G an H.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako