• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wanawake wajasiriamali Uganda watakiwa kuungana

  (GMT+08:00) 2017-12-06 19:36:12

  Wanawake wajasiriamali nchini Uganda chini ya chama chao cha UWEAL wametakiwa kuungana kwenye vikundi ili kufanikisha biashara zao za nje ya nchi.

  Akifungua mkutano wa 4 wa viongozi wa biashara wanawake waziri wa biashara Amelia Kyambadde amesema wanawake wakifanya kazi bila vikundu hawawezi kupata fursa kubwa,

  Aliwashauri kuungana ili kuchanga mtaji na kufanya bishara kubwa na ya kudumu.

  Naye mkurungezi wa kikanda wa shirikisho la wanawake wafanyao biashara Afrika Mashariki Nancy Gitonga, alisema wanawake wanaofanya biashara nje ya nchi ni chini ya asilimia moja tu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako