• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • AfDB yapitisha dola milioni $101.46 kukarabati wa miundo mbinu ya kawi Ethiopia

  (GMT+08:00) 2017-12-06 19:36:12
  Benki ya maendeleo ya Afrika AfDB imepitisha wa dola milioni $101.46 kufadhili ukarabati wa miundo mbinu ya kawi mjini Addis Ababa Ethiopia.

  Kati ya fedha hizo dola milioni 86.26 ni mkopo na dola milioni 15.2 ni ruzuku na zitatumika hasa kukarabati nyaya na mifumo ya kusambaza umemem.

  Fedha hizo zitatumika kujenga kilomita 545 za nyaya za umeme na kurejesha transfoma 582 za kugawa umeme.

  Aidha kwa kutumia fedha hizo Ethiopia itakarabati vituo 9 vya umeme.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako