• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • UEFA Champions League: Timu zilizoingia 16 bora zapatikana

  (GMT+08:00) 2017-12-07 09:16:00

  Hatua ya makundi ya michuano ya UEFA Champions League msimu wa 2017/2018 ilimalizika rasmi jana usiku kwa michezo minane kupigwa barani Ulaya na sasa jumla ya timu 16 zilizofanikiwa kuingia hatua ya 16 ya michuano hiyo zimepatikana. Michuano imemalizika na kushuhudiwa timu za Napoli na Borussia Dortmund ambazo imezoeleka kuonekana zikifanya vizuri katika michuano ya UEFA Champions zikiondolewa katika hatua ya Makundi ya michuano hiyo kitu ambacho ni kigeni sana.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako