• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Raga: Kenya yawafunga majirani zao Uganda kwenye mashindano ya dunia

    (GMT+08:00) 2017-12-11 10:15:26

    Timu ya taifa ya Kenya kwenye mchezo wa Raga imeifunga Uganda kwa alama 24-14 na kujiliwaza kwa akiba ya pointi 3 na ikiwa ya 13 katika msimamo wa timu zinazoshindana zenye wachezaji saba (maafuru kama seven series) kwa msimu huu.

    Ushindi huu haujaweza kuinusuru Kenya (maarufu kama Shujaa'z), kwa kuwa tayari walikuwa wamekwishafungwa katika mechi zilizopita, walipocheza dhidi ya Ufaransa, Samoa na Scotland.

    Na kufuatia vipigo hivyo ilivyopata, Kenya imeporomoka katika msimamo wa viwango vya dunia kwa wachezaji saba, ambapo sasa inashika nafasi ya 11.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako