• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kikapu, Chipukizi wa Marekani wajiunga na ligi kuu ya nchini Lithuania

    (GMT+08:00) 2017-12-13 10:38:48

    Nyota chipukizi katika mchezo wa mpira wa kikapu nchini Marekani LaMelo Ball (16) na nduguye LiAngelo Ball (19) wamesaini mkataba wa mwaka mmoja kila mmoja wa kuitumikia klabu ambayo ni bingwa wa ligi kuu nchini Lithuania ya Vytautas.

    Hayo yote yamedaiwa kuwezekana kutokana na jitihada za Harrison Gaines, kuweka makubaliano na uongozi wa Vytautas ili kuunda mwanzo wa kipekee kwa nyota hao kabla ya kujiunga na ligi kuu ya kikapu nchini Marekani.

    Lakini baadhi wachambuzi wa masuala ya saikolojia ya michezo wamesema, njama hiyo imefanywa baada ya LiAnjelo kupoteza sifa safi za kuendelea na mfumo wa kawaida ya kupanda ligi kuu ya NBA kufuatia kitendo cha kukamatwa akidokoa katika duka moja nchini China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako