• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Trump atangaza mkakati wa usalama wa taifa

    (GMT+08:00) 2017-12-19 08:51:13
    Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza mkakati wa usalama wa taifa, ambao ni wa kwanza wa aina hiyo tangu aingie madarakani mwezi Januari, na wa 17 tangu serikali ya Reagan ianze kuwasilisha ripoti hiyo kwa Bunge la Marekani. Rais Trump amesema ripoti hiyo ambayo imeandaliwa kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja imedhihirisha maslahi manne makuu ya kitaifa ili kulinda nchi na wananchi wake, kuhimiza ustawi wa taifa na kulinda amani kwa kupitia kuimarisha na kuongeza ushawishi wa Marekani.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako