• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa alaani shambulizi la kigaidi nchini Pakistan

    (GMT+08:00) 2017-12-19 08:51:40

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw Antonio Guterres amelaani vikali shambulizi la kigaidi lililotokea katika kanisa moja mjini Quetta, Pakistan na kusababisha vifo vya watu wengi. Katika taarifa iliyotolewa kupitia msemaji wake Bw Stephane Dujarric, Bw Guterres ametoa salamu za rambirambi kwa familia za wahanga na kutarajia majeruhi watapona haraka. Amewataka wahalifu wa shambulizi hilo wachukuliwe hatua za kisheria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako