• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • EAC: Bunge la EALA kujadili umoja wa sarafu

    (GMT+08:00) 2017-12-19 18:51:15

    Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki linatarajiwa hivi karibuni kuanza mjadala wa kuwa na sarafu ya pamoja.

    Bunge hilo hasa litajadili kuhusu miswada ya taasisi husika ambazo zitasaidia kuwa na sarafu hiyo.

    Kutokuwepo na taasisi kama hizo ni mojawepo wa sababu kuu za kukosa kuwa na umoja wa sarafu kwenye jumuiya hiyo yenye nchi sita wanachama.

    pamoja na miswada hiyo ni ume wa kubuniwa kwa taasisi ya kifedha ya Afrika Mashariki na kituo cha taakwimu cha Afrika Mashariki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako