• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu wawili wafariki baada ya ndege waliyosafiria kuanguka kaskazini mwa Russia

    (GMT+08:00) 2017-12-20 08:48:36

    Mwanamke mmoja na mtoto mwenye umri wa miaka minne wamefariki dunia na wengine 11 kujeruhiwa baada ya ndege kongwe waliyokuwa wakisafiria aina ya Antonov An-2 kuanguka kwenye eneo la Nenets, kaskazini mwa Russia. Ajali hiyo ilitokea wakati ndege hiyo iliyokuwa na marubani wawili na abiria 11 ikijaribu kutua kwa dharura baada ya kuruka kutoka uwanja wa ndege wa mji wa Naryan-Mar. Chanzo cha ajali hiyo kinaweza kuwa ni hali mbaya ya hewa, makosa ya kibinadamu, au hitilafu za kiufundi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako