• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu watano wauawa kwenye maandamano katika jimbo la wakurdi nchini Iraq

    (GMT+08:00) 2017-12-20 08:48:57

    Watu watano wameuawa na wengine 96 kujeruhiwa kwenye maandamano yaliyofanywa jana kwenye jimbo la wakurdi nchini Iraq, wakati hasara ya umma ikiendelea kuenea kutokana na mishahara isiyolipwa na ufisadi. Msemaji wa ofisi ya afya ya mji wa Rania Bw. Taha Mohammed amesema vifo na majeruhi hao vimetokea mjini Rania baada ya vikosi vya usalama kufyatulia risasi na kutumia mabomu ya machozi dhidi ya waandamanaji waliochoma moto ofisi za vyama vya wakurdi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako