• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mawaziri wa mambo ya nje wa China na Russia wafanya mazungumzo kwa njia ya simu

    (GMT+08:00) 2017-12-20 08:49:40

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi jana alifanya mazungumzo kwa njia ya simu na mwenzake wa Russia Bw. Sergei Lavrov, kujadili uhusiano kati ya nchi zao na hali ya peninsula ya Korea. Mawaziri hao pia walibadilishana maoni kuhusu masuala ya kimataifa yanayofuatiliwa kwa pamoja na nchi zao, na kuahidi kudumisha mawasiliano ya kimkakati kuhusiana na masuala makuu duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako