• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katibu mkuu wa UN asisitiza umuhimu wa kuzuia mapambano

    (GMT+08:00) 2017-12-21 09:06:52

    Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Bw. Antonio Guterres amesisitiza umuhimu wa kuzuia mapambano kutokana na mabadiliko yanayotokea katika matishio dhidi ya amani na usalama wa kimataifa. Ameliambia Baraza la Usalama la Umoja huo kwamba kuzuia mapambano kunatakiwa kutiliwa maanani katika kazi zote zinazofanywa na Umoja huo, na ni bora kuzuia mapambano kuliko kuyadhibiti baada ya kutokea. Ameongeza kuwa maendeleo ni moja ya mbinu bora za kuzuia mapambano, na ajenda ya kuelekea mwaka 2030 italeta mustakbali mkubwa kwa kazi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako