• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Marekani na mfalme wa Saudi Arabia wazungumza kwa njia ya simu

    (GMT+08:00) 2017-12-21 09:07:13

    Rais Donald Trump wa Marekani amezungumza kwa njia ya simu na mfalme Salman Bin Abdulazizi Al Saud wa Saudi Arabia, na kujadili masuala yanayohusiana na Yemen na Iran. Kwenye mazungumzo yao, rais Trump ameeleza nia ya kushikamana na Saudi Arabia kufuatia shambulizi la kombora lililorushwa na kundi la Houthi dhidi ya nyumba ya mfalme huyo mapema Jumanne. Saudi Arabia iliishutumu Iran kwa kusafirisha makombora nchini Yemen, na Marekani pia iliilaani Iran kwa kuwezesha shambulizi hilo, lakini Iran imekanusha shutuma hizo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako