• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali kuu yatenga zaidi ya Yuan bilioni 28 kuunga mkono kilimo

    (GMT+08:00) 2017-12-21 19:17:03

    Habari kutoka ofisi ya uendelezaji wa kilimo ya China zinasema mwaka huu serikali kuu imetenga yuan bilioni 28.74 ili kuboresha kilimo katika hekta milioni 1.67 za mashamba.

    Takwimu za mwanzo zinaonesha kuwa, hadi sasa China imetekeleza miradi 51 ya majaribio katika mikoa na miji 6, kuwekeza yuan bilioni 2.488, kuhimiza utoaji wa mikopo bilioni 2, na inakadiriwa kwamba hekta laki 1 za mashamba zimeboreshwa kwa kiwango cha juu. Miradi hiyo imewanufaisha moja kwa moja wakulima wapatao milioni 55, kwa kuinua kiwango cha ubora wa mashamba kwa ngazi moja hadi mbili, na kuongeza uzalishaji wa nafaka kwa asilimia 10 hadi 20.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako