• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uchaguzi wa bunge wafanyika katika Jimbo linalojitawala la Catalonia nchini Hispania

    (GMT+08:00) 2017-12-22 09:03:04

    Uchaguzi wa bunge ulifanyika katika jimbo linalojitawala la Catalonia nchini Hispania, baada ya maofisa wote wa serikali ya jimbo hilo kufutwa kazi kufuatia kura za maoni ya kujitenga na Hispania, ikiwa ni hatua ya kurejesha utaratibu wa katiba kwenye jimbo hilo. Upigaji kura ulifanyika jana kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa mbili usiku o, na watu elfu 54 walioandikishwa walipiga kura kuchagua wabunge 135 wa jimbo hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako