• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Barabara katikati ya London zafunguliwa baada ya wasiwasi kuhusu tukio la kiusalama

    (GMT+08:00) 2017-12-22 09:29:24

    Barabara za katikati ya mji wa London zimefunguliwa baada ya mlipuko uliodhibitiwa kutokea baada ya"gari lililotiliwa shaka" kugunduliwa kuachwa karibu na bustani ya kasri ya Buckingham.

    Taarifa iliyotolewa na polisi wa Westminster inasema, mlipuko huo ulitekelezwa saa tatu na dakika arobaini usiku, na hali imetulizwa.

    Mapema siku hiyo, kituo cha subway cha Hyde Park na barabara zilizo karibu zilifungwa, wakati polisi wakichunguza gari lililokuwa linatiliwa shaka. Barabara za katikati ya London huwa na pilika nyingi wakati wa sikukuu ya Krismas.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako