• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China inaendelea kutoa mchango mkubwa katika sekta ya kuzuia kuenea silaha za nyuklia

    (GMT+08:00) 2017-12-22 19:11:03

    Katibu mkuu mtendaji wa kamati ya maandalizi ya shirika la makubaliano ya kupiga marufuku kwa pande zote majaribio ya kinyuklia Bw. Lassina Zerbo amesema, mafanikio iliyopata China kwenye ujenzi wa kituo cha usimamizi wa nyuklia ni mfano wake mzuri katika kutekeleza ahadi ya kuzuia kuenea kwa silaha za nyuklia duniani, na China imetoa mchango mkubwa zaidi katika sekta hiyo.

    Bw. Zerbo amesema, kwenye mfumo wa usimamizi uliowekwa na shirika hilo duniani, kituo cha usimamizi cha China ni muhimu sana. Amesisitiza kuwa China ni nchi inayoendelea, na jinsi China inavyoshiriki kwenye mambo husika chini ya utaratibu wa Umoja wa Mataifa ni mfano wa kuigwa kwa nchi zinazoendelea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako