• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China imesaini makubaliano na nchi na mashirika ya kimataifa 86 kuhusu ushirikiano wa "ukanda mmoja, na njia moja"

    (GMT+08:00) 2017-12-23 18:39:47

    Mkurugenzi wa kamati ya maendeleo na mageuzi ya China Bw. He Lifeng jana amesema, China imesaini makubaliano ya ushirikiano na nchi na mashirika ya kimataifa 86 kuhusu pendekezo la "ukanda mmoja, na njia moja.".

    Bw. He ameyasema hayo kwenye mkutano wa kazi za maendeleo na mageuzi nchini China uliofanyika siku hiyo. Ameongeza kuwa China imepiga hatua kubwa katika ujenzi wa "ukanda mmoja, na njia moja" mwaka 2017, na mwaka ujao itaendelea na juhudi za kusukuma mbele ushirikiano kwa mujibu wa "ukanda mmoja, na njia moja", na kuhimiza utekelezaji wa makubaliano ya ushirikiano yaliyofikiwa kwenye mkutano wa kilele wa ushirikiano wa kimataifa kuhusu pendekezo la "ukanda mmoja, na njia moja".

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako