• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Yemen afanya mabadiliko ya baraza la mawaziri

    (GMT+08:00) 2017-12-25 08:47:53

    Rais wa Yemen Bw. Abdu-Rabbu Mansour Hadi anayeungwa mkono na Saudi Arabia, amefanya mabadiliko ya baraza la mawaziri, na kumwondoa madarakani waziri wa mambo ya ndani Jenerali Hussein Bin-Arab na kuwateua mawaziri wapya wa kilimo, mafuta na uchukuzi. Rais huyo pia amewafukuza kazi magavana wawili wa majimbo ya kusini na kumteua gavana mpya wa jimbo la Taiz. Wachambuzi wanasema, mawaziri na magavana waliofutwa kazi ni wanachama wa Baraza la mpito la kusini wenye ushawishi mkubwa huko Aden.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako