• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Timu ya Mbeya yatetea ubingwa wake

  (GMT+08:00) 2017-12-25 13:22:57

  Timu ya mpira wa kikapu ya Mbeya imefanikiwa kutetea ubingwa wake msimu huu baada ya kuifunga timu ya mkoa wa Songwe katika mchezo wa fainali katika mashindano ya kitaifa yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.

  Huu ni ubingwa wa tatu mfululizo kwa timu hiyo ambayo kwenye mechi ya nusu fainali iliwafunga timu yenye historia ndefu ya Dar es Salaam.

  Kwa mujibu wa mwenyekiti wa chama cha mpira wa kikapu mkoa wa mbeya, Mboka Mwambusi, maandalizi pamoja na nidhamu za wachezaji ndiyo siri kubwa ya mafanikio ya timu hiyo katika misimu mitatu hii.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako