• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Russia yamzuia kiongozi wa upinzani kugombea urais kwenye uchaguzi wa mwaka kesho

    (GMT+08:00) 2017-12-26 09:09:54

    Tume ya uchaguzi ya Russia imemkatalia kiongozi wa upinzani Bw. Alexei Navalny haki ya kugombea urais kwenye uchaguzi mkuu wa nchi hiyo utakaofanyika mwakani kutokana na rekodi yake ya uhalifu. Mkurugenzi wa tume hiyo Ella Pamfilova amesema kwa mujibu sheria za Russia, mtu yeyote aliyekutwa na hatia ya kutenda uhalifu, hatakuwa na sifa stahiki ya kugombea urais. Bw. Navalny ametoa wito kwa wafuasi wake kuwashawishi watu wengine kususia uchaguzi huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako