• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mtambo wa kwanza wa kuzalisha umeme kwa maji unaojengwa na China nchini Zimbabwe waanza kufanya kazi

    (GMT+08:00) 2017-12-26 14:35:50
    Mtambo wa kwanza katika ujenzi wa kuongeza uwezo wa uzalishaji wa umeme kwa maji katika kando ya kusini ya Kariba, ambao ni mradi mkubwa zaidi wa uzalishaji wa maji kwa nishati ya umeme unaotengenezwa na kampuni na China umejengwa kwa mafanikio tarehe 25 Desemba, na kuanza kuzalisha umeme. Ujenzi huo utasaidia kupunguza hali ya wasiwasi ya matumizi ya umeme nchini Zimbabwe.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako