• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa hati mpya zaidi ya elfu nne za makazi ya kudumu kwa raia wa kigeni

     

    (GMT+08:00) 2017-12-26 18:19:33
    Wizara ya Usalama wa Umma ya China imesema, zaidi ya vitambulisho vipya vya makazi ya kudumu elfu nne vimetolewa kwa raia wa kigeni tangu mradi huo uanze mwezi Juni mwaka huu.

    Wizara hiyo imesema, ikilinganishwa na kadi za zamani, kadi mpya zimewekewa kifaa kinachoweza kusomwa kwenye mashine.

    Kadi hizo mpya ni matokeo ya mageuzi yanayolenga kuzifanya kadi hizo zitambuliwe na mashine na zinajulikana na kukubalika katika nyanja mbalimbali za jamii, ikiwemo vituo vya trni, usafiri wa anga, bima, hoteli, na benki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako