• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Askari wa Nigeria wawasaka wapiganaji wa Boko Haram baada ya kuzima shambulizi lao

    (GMT+08:00) 2017-12-26 18:26:29

    Askari wa Nigeria wanawasaka wapiganaji wa kundi la Boko Haram baada ya kuzima shambulizi la kundi hilo la kigaidi karibu na mji wa kaskazini mashariki wa Maiduguri nchini humo.

    Kamanda wa askari hao wanaopambana na kundi la Noko Haram mkoani Borno, Rogers Nicholas amesema, jeshi lilifanikiwa kuzima shambulizi dhidi ya kituo cha kijeshi katika eneo la Moloi, kilomita chache kutoka Maiduguri. Amesema wapiganaji hao walijaribu kutumia vifaa vya mlipuko na bunduki kushambulia kituo cha jeshi ili waweze kuingia mjini Maiduguri kuiba vyakula.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako