• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tunisia yashuhudia ongezeko la asilimia 23 kwenye sekta ya utalii kwa mwaka 2017

    (GMT+08:00) 2017-12-27 09:04:27

    Tunisia imeshuhudia ongezeko la asilimia 23 kwenye sekta ya utalii kuliko mwaka jana, ambapo idadi ya watalii waliotembelea nchi hiyo imefikia milioni 6.7, wakiwemo watalii zaidi ya elfu 18 kutoka China, ambao wamechangia mapato ya dola bilioni 1.12 za kimarekani kwa mwaka huu, ikiwa ni ongezeko la asilimia 3 ikilinganishwa na mwaka jana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako