• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani yawawekea vikwazo raia wawili wa Korea Kaskazini

    (GMT+08:00) 2017-12-27 09:04:45

    Marekani imetangaza kuwawekea vikwazo raia wawili wa Korea Kaskazini wanaotuhumiwa kujihusisha na mpango wa nchi hiyo wa kuendeleza makombora. Taarifa iliyotolewa na wizara ya fedha ya Marekani inasema, kutokana na vikwazo hivyo, mali zote za watu hao nchini Marekani zitazuiliwa na raia wa Marekani hawaruhusiwi kuwa na uhusiano wa kibiashara au kifedha na walengwa hao. Serikali ya Marekani imetekeleza mkakati wa kuiwekea Korea kaskazini shinikizo kubwa ili kuilazimisha iache mipango yake ya kuendeleza silaha, lakini mpaka sasa haijafanikiwa kutimiza malengo yake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako