• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kazi ya kuhesabu kura yafanyika baada ya uchaguzi mkuu Liberia

    (GMT+08:00) 2017-12-27 09:59:41

    Kazi ya kuhesabu kura inafanyika katika vituo vya kupigia kura nchini Liberia baada ya uchaguzi wa rais kufanyika jana nchini humo.

    Kazi hiyo imefanyika kuanzia saa 6 mchana, baada ya vituo vyote 5,390 vya kupigia kura kufungwa.

    Waangalizi wa ndani na kimataifa wamesema mchakato huo umefanyika kwa amani na utulivu.

    Duru ya pili ya kupigia kura iliyosubiriwa zaidi ni kati ya mgombea wa muungano wa upinzani CDC Bw.George Weah na Makamu wa Rais wa Liberia Bw. Joseph Boakai.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako