• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa pili wa wajumbe wote wa kamati kuu ya 19 ya CPC kufanyika

    (GMT+08:00) 2017-12-27 15:21:45

    Ofisi ya siasa ya kamati kuu ya 19 ya Chama cha Kikomunisti cha China CPC leo imeitisha mkutano, ikiamua kufanya mkutano wa pili wa wajumbe wote wa kamati hiyo, ambao ajenda kuu zitakuwa kujadili na kutafiti mapendekezo ya kurekebisha baadhi ya vipengele vya katiba, na kupanga kazi za kupambana na ufisadi kwa mwaka ujao.

    Mkutano huo umesisitiza kuwa ujamaa wenye umaalumu wa China umeingia katika kipindi kipya, CPC ni lazima kiwe na sura mpya na mafanikio mapya. Kinapaswa kushikilia kushughulikia mambo ya kichama kwa nidhamu kali, na kupambana na ufisadi mpaka ushindi upatikane.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako