• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China yabadili mfumo wa uongozi wa kikosi cha polisi wenye silaha

    (GMT+08:00) 2017-12-27 20:49:49

    Kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China hivi karibuni imetoa uamuzi wa kubadili uongozi wa kikosi cha polisi wenye silaha, ambapo kuanzia tarehe 1 Januari mwaka 2018, kikosi hicho kitaongozwa na kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na kamati ya kijeshi ya chama.

    Kutokana na uamuzi huo, ujenzi wa kikosi cha polisi wenye silaha, utafuata kanuni ya kamati ya kijeshi ya chama, na idara husika za chama na serikali, kamati za chama na serikali za mitaa, zitaweka mfumo wa mahitaji na uratibu wa pamoja na kikosi hicho.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako