• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kituo cha umeme kilichojengwa na China chahimiza uzalishaji wa umeme nchini Botswana

    (GMT+08:00) 2017-12-28 09:16:14

    Kituo cha kuzalisha umeme kwa makaa ya mawe kilichojengwa na kampuni ya uhandisi ya umeme ya China, kimehimiza uzalishaji wa umeme nchini Botswana. Takwimu zilizotolewa na mamlaka ya takwimu ya Botswana zinaonesha kuwa uzalishaji wa umeme umeongezeka kwa theluthi moja katika robo ya tatu ya mwaka huu, ikilinganishwa na robo ya pili, ongezeko hilo limetajwa kuwa linatokana na utendaji ulioboreka wa kituo hicho cha umeme.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako