• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Zimbabwe awateua wawili kuwa makamu wa rais

    (GMT+08:00) 2017-12-28 09:55:56

    Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amewateua aliyekuwa mkuu wa majeshi wa Zimbabwe jenerali Constantino Chiwenga, na aliyekuwa waziri wa ulinzi, usalama na maveterani wa vita Bw. Kembo Mohadi, kuwa makamu wa rais.

    Katibu mkuu wa rais na baraza la mawaziri Bw. Christian Katsande amesema kuteuliwa na kuapishwa kwao kunaendana na katiba.

    Wawili hao wanatarajiwa kuapishwa hivi karibuni, kuwa makamu wa rais na makatibu wa pili wa chama tawala cha Zanu-PF.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako