• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Reli muhimu ya mwendo kasi ya mashariki kwenda magharibi yaanza kufanya kazi

    (GMT+08:00) 2017-12-28 18:43:31

    Reli ya mwendo kasi inayounganisha mji wa Shijiazhuang uliopo mkoani Hebei na mji wa Jinan, mji mkuu wa mkoa wa Shandong imeanza kufanya kazi hii leo.

    Reli hiyo ni muhimu kati ya njia ya treni ya mwendo kasi ya magharibi na mashariki, na inajenga daraja kati ya miji miwili muhimu ya kaskazini na kusini, reli ya mwendo kasi ya Beijing na Guangzhou na Beijing na Shanghai, na kuongeza mwingiliano wa mtandao wa reli ya mwendo kasi nchini China.

    Muda wa usafiri kati ya Shijiazhuang na Jinan umepungua na kufikia saa mbili na dakika tisa kutoka saa tatu na dakika 47 za awali.

    Ujenzi wa reli hiyo ulianza mwaka 2014.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako